MAFUA MAKALI (INFECTIOUS CORYZA)
Huu ni ugonjwa amba una shambulia kuku na ndege waporini , nauna wapata hasa kuku wa lika lolote.
Ugonjwa huu huanza taratibu kwa kuku mmoja na kwenda
kwa kuku wengine/mwingine endapo usipo udhibiti mapema na husababisha machokutoa
machozi
Ugonjwa huu hushambulia sana mfumo wa hewa na
kupelekea nuonekana kwa dalili zifuatazo:-
·
Kuku kukoroma
·
Makamasi mazito kutoka puani.
·
Kuku Kupiga chafya sana.
·
Uso kuvimba hasa maeneo ya macho.
·
Vifo vingi bandani kila siku
NINI
KIFANYIKE
·
Hakikisha banda la kuku lina ruhusu hewa ya kuingia na
kutoka
·
Hakikisha unapo weka Maranda yasiwe yaliyo toka
mashineni
·
Hakikisha banda la kuku wa dogo lisiwe mwelekeo wa
kuku kubwa unapotokea upepo.
·
Usibadilishe randa mara kwa mara bandani
NB:ugonjwa huu
umekua ukisababiswa na ukosefu wa vitamin A (AVITAMINOSIS) Abayo husaidia
katika uono/vision hata kwa binadamu pia
Tiba
·
Bwasafish kuku wako wakio ugua kwa maji ya vuguvugu na
chumvi,pia uwe mfuatiliajiwa kuku wako
·
Kukuwapewe madini ya vitamin kama vile:-
-AMINTOTO
-OCTAVIT
nk. Wachanganyie kwa kipimo cha Gram 10/mls (kijiko cha chai) kwa lita 20 za
maji
Wapewe kwa siku 3 mpaka 5 mfululizo
KWA USHAURI
ZAIDI WASILIANA NA DAKTARI WA MIFUGO ALIYE KARIBU NAWE
Imeandaliwa
na
jedidiah mattaba
MTAALAMU WA KUKU
0621627094


Maoni
Chapisha Maoni